SKIN DOCE
-
Hii ndo kiboko ya stretch mask zote na weusi sehemu mbalimbali ya mwili
Hii ndo mwisho wa Michirizi yote
Kwangu mimi napenda kuita multipurpose
Maana Inasaidia vitu vingi sana kweye ngozi
Kama vile
✔️WEUSI CHINI YA MAPAJANI
✔️WEUSI KWEYE MAKWAPA
✔️WEUSI MAGOTINI
✔️SUGU MIKONONI
✔️NA MWISHO WA KAZI MICHIRIZI YOYOTE ILE
HATA KAMA ILE YA UZAZI HII KIBOKO
FAIDA YA HII SKIN DOCE YETU
🧡Inafanya kazi kama kutoa tatizo vizuri la ngozi yako na ndani ya week ya week 1 una Anza kuona mabadiliko kweye tatizo la ngozi yako
NOTE
Uzuri zaidi ya hii product yetu inafanya tatizo liishe kabisa lakini sio kuongeza tatizo juu ya tatizo na wala sio kufanya uwe weupe badala ya kutoa tatizo
MATUMIZI
UNATUMIA KWA SIKU 2 TU
ASUBUHI NA JIONI
-
Skysuite 320
-
Black
-
Large, Small
-
3 Months
Wasilisha Maoni Yako
Barua pepe yako haitoonekana. Maeneo ya lazima yana alama *